Rukia hadi maudhui

Mathayo 13:24 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 13:24 BHN (Biblia Habari Njema)

Yesu akawaambia watu mfano mwingine: “Ufalme wa mbinguni unafanana na mtu aliyepanda mbegu nzuri katika shamba lake.

Mathayo 13 BHN

Mathayo 13:24 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Akawatolea mfano mwingine, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu aliyepanda mbegu njema katika konde lake

Mathayo 13 SUV

Mathayo 13:24 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Akawatolea mfano mwingine, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu aliyepanda mbegu njema katika shamba lake

Mathayo 13 SRUV

Mathayo 13:24 NEN (Neno)

Yesu akawaambia mfano mwingine, akasema: “Ufalme wa mbinguni unaweza kufananishwa na mtu aliyepanda mbegu nzuri katika shamba lake.

Mathayo 13 NEN