Mathayo 13:10 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 13:10 BHN (Biblia Habari Njema)
Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?”
Mathayo 13:10 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaja wanafunzi, wakamwambia, Kwa nini wasema nao kwa mifano?
Mathayo 13:10 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wakaja wanafunzi, wakamwambia, Kwa nini wasema nao kwa mifano?
Mathayo 13:10 NEN (Neno)
Wanafunzi wake wakamwendea, wakamuuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?”