Rukia hadi maudhui

Mathayo 13:1 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 13:1 BHN (Biblia Habari Njema)

Siku hiyohiyo, Yesu alitoka katika ile nyumba, akaenda na kuketi kando ya ziwa.

Mathayo 13 BHN

Mathayo 13:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Siku ile Yesu akatoka nyumbani, akaketi kando ya bahari.

Mathayo 13 SUV

Mathayo 13:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Siku ile Yesu akatoka nyumbani, akaketi kando ya bahari.

Mathayo 13 SRUV

Mathayo 13:1 NEN (Neno)

Siku hiyo hiyo Yesu akatoka nje ya nyumba, akaketi kando ya bahari.

Mathayo 13 NEN