Mathayo 12:7
Mathayo 12:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama tu mngejua maana ya maneno haya: ‘Nataka huruma wala si tambiko,’ hamngewahukumu watu wasio na hatia.
Shirikisha
Soma Mathayo 12Mathayo 12:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini kama mngalijua maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka, msingaliwalaumu wasio na hatia.
Shirikisha
Soma Mathayo 12