Mathayo 12:40
Mathayo 12:40 Biblia Habari Njema (BHN)
Jinsi Yona alivyokaa siku tatu kutwa kucha tumboni mwa nyangumi, ndivyo naye Mwana wa Mtu atakavyokaa ndani ya ardhi siku tatu kutwa kucha.
Shirikisha
Soma Mathayo 12Mathayo 12:40 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwani kama vile Yona alivyokuwa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi.
Shirikisha
Soma Mathayo 12