Mathayo 12:36
Mathayo 12:36 Biblia Habari Njema (BHN)
“Basi, nawaambieni, siku ya hukumu watu watapaswa kujibu juu ya kila neno lisilofaa wanalosema.
Shirikisha
Soma Mathayo 12Mathayo 12:36 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, nawaambia, Kila neno lisilo maana, watakalolinena wanadamu, watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu.
Shirikisha
Soma Mathayo 12