Mathayo 12:11
Mathayo 12:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Yesu akawaambia, “Tuseme mmoja wenu ana kondoo wake ambaye ametumbukia shimoni; je, hatamshika na kumtoa humo siku ya Sabato?
Shirikisha
Soma Mathayo 12Mathayo 12:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akawaambia, Ni mtu yupi miongoni mwenu mwenye kondoo mmoja, na yule kondoo ametumbukia shimoni siku ya sabato, asiyemshika akamwopoa?
Shirikisha
Soma Mathayo 12