Mathayo 11:8
Mathayo 11:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona mtu aliyevaa mavazi maridadi? Watu wanaovaa mavazi maridadi hukaa katika nyumba za wafalme.
Shirikisha
Soma Mathayo 11Mathayo 11:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mlitoka kwenda kuona nini? Mtu aliyevikwa mavazi mororo? Tazama, watu wavaao mavazi mororo wamo katika nyumba za wafalme.
Shirikisha
Soma Mathayo 11