Mathayo 11:29-30
Mathayo 11:29-30 Biblia Habari Njema (BHN)
Jifungeni nira yangu, mkajifunze kwangu, maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtatulizwa rohoni mwenu. Maana, nira niwapayo mimi ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.”
Shirikisha
Soma Mathayo 11Mathayo 11:29-30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.
Shirikisha
Soma Mathayo 11Mathayo 11:29-30 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.
Shirikisha
Soma Mathayo 11