Mathayo 11:23
Mathayo 11:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Na wewe Kafarnaumu, je, utajikweza mpaka mbinguni? Utaporomoshwa mpaka kuzimu! Maana, kama miujiza iliyofanyika kwako ingalifanyika kule Sodoma, mji huo ungalikuwako mpaka hivi leo.
Shirikisha
Soma Mathayo 11Mathayo 11:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe Kapernaumu, je! Utakuzwa mpaka mbinguni? Utashushwa mpaka kuzimu; kwa kuwa kama miujiza iliyofanyika kwako ingalifanyika katika Sodoma, ungalikuwapo mji huo hata leo.
Shirikisha
Soma Mathayo 11