Mathayo 11:22
Mathayo 11:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata hivyo, nawaambieni, siku ya hukumu, nyinyi mtapata adhabu kubwa kuliko ya Tiro na Sidoni.
Shirikisha
Soma Mathayo 11Mathayo 11:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini nawaambieni, itakuwa rahisi Tiro na Sidoni kustahimili adhabu zao siku ya hukumu kuliko ninyi.
Shirikisha
Soma Mathayo 11