Mathayo 11:21
Mathayo 11:21 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ole wako Korazini! Ole wako Bethsaida! Maana, kama miujiza iliyofanyika kwenu ingalifanyika kule Tiro na Sidoni, watu wake wangalikwisha vaa mavazi ya gunia kitambo na kujipaka majivu kutubu.
Shirikisha
Soma Mathayo 11Mathayo 11:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ole wako, Korazini! Ole wako, Bethsaida! Kwa kuwa kama miujiza iliyofanyika kwenu ingalifanyika katika Tiro na Sidoni, wangalitubu zamani kwa kuvaa magunia na majivu.
Shirikisha
Soma Mathayo 11