Mathayo 11:20
Mathayo 11:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo akaanza kuikemea miji ile ambamo ndani yake ilifanyika miujiza yake iliyo mingi, kwa sababu haikutubu.
Shirikisha
Soma Mathayo 11Mathayo 11:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Yesu akaanza kuilaumu miji ambayo, ingawaje alifanya miujiza mingi humo, watu wake hawakutaka kutubu
Shirikisha
Soma Mathayo 11Mathayo 11:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo akaanza kuikemea miji ile ambamo ndani yake ilifanyika miujiza yake iliyo mingi, kwa sababu haikutubu.
Shirikisha
Soma Mathayo 11