Mathayo 11:19
Mathayo 11:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwana wa Mtu akaja, anakula na kunywa, nao wakasema: ‘Mwangalieni huyu, mlafi na mlevi, rafiki yao watozaushuru na wenye dhambi!’ Hata hivyo, hekima ya Mungu inathibitishwa kuwa njema kutokana na matendo yake.”
Shirikisha
Soma Mathayo 11Mathayo 11:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwana wa Adamu alikuja, akila na kunywa, wakasema, Mlafi huyu, na mlevi, rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake.
Shirikisha
Soma Mathayo 11