Mathayo 11:11
Mathayo 11:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Kweli nawaambieni, miongoni mwa watoto wote wa watu, hajatokea aliye mkuu kuliko Yohane Mbatizaji. Hata hivyo, yule aliye mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni, ni mkubwa kuliko yeye.
Shirikisha
Soma Mathayo 11Mathayo 11:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini, nawaambieni, Hajatokea mtu katika wazawa wa wanawake aliye mkuu kuliko Yohana Mbatizaji; lakini aliye mdogo katika ufalme wa mbinguni ni mkuu kuliko yeye.
Shirikisha
Soma Mathayo 11