Mathayo 11:1
Mathayo 11:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alipomaliza kuwapa wanafunzi kumi na wawili maagizo, alitoka hapo, akaenda kufundisha na kuhubiri katika miji yao.
Shirikisha
Soma Mathayo 11Mathayo 11:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa Yesu alipokwisha kuwaagiza wanafunzi wake kumi na wawili, alitoka huko kwenda kufundisha na kuhubiri katika miji yao.
Shirikisha
Soma Mathayo 11