Mathayo 10:42
Mathayo 10:42 Biblia Habari Njema (BHN)
Kweli nawaambieni, yeyote atakayempa mmojawapo wa wadogo hawa kikombe cha maji baridi kwa sababu ni mfuasi wangu, hakika hatakosa kamwe kupata tuzo lake.”
Shirikisha
Soma Mathayo 10Mathayo 10:42 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na mtu awaye yote atakayemnywesha mmojawapo wa wadogo hawa angaa kikombe cha maji baridi, kwa kuwa ni mwanafunzi, amin, nawaambia, haitampotea kamwe thawabu yake.
Shirikisha
Soma Mathayo 10