Mathayo 10:37
Mathayo 10:37 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ampendaye baba au mama yake kuliko anipendavyo mimi, hanistahili. Ampendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili.
Shirikisha
Soma Mathayo 10Mathayo 10:37 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Apendaye baba au mama kuliko mimi, hanistahili; wala apendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili.
Shirikisha
Soma Mathayo 10