Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 10:34 - Compare All Versions

Mathayo 10:34 BHN (Biblia Habari Njema)

“Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga.

Shirikisha
Mathayo 10 BHN

Mathayo 10:34 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga.

Shirikisha
Mathayo 10 SRUV

Mathayo 10:34 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga.

Shirikisha
Mathayo 10 SUV

Mathayo 10:34 NENO (Neno: Bibilia Takatifu 2025)

“Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga.

Shirikisha
Mathayo 10 NENO