Mathayo 10:32
Mathayo 10:32 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
“Kila mtu atakayenikiri mbele ya watu, mimi nami nitamkiri yeye mbele za Baba yangu aliye mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 10Mathayo 10:32 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kila mtu anayekiri hadharani kwamba yeye ni wangu, mimi pia nitamkiri mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 10Mathayo 10:32 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, kila mtu atakayenikiri mbele ya watu, nami nitamkiri mbele za Baba yangu aliye mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 10