Mathayo 10:30-31
Mathayo 10:30-31 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kwa upande wenu, hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Kwa hiyo msiogope; nyinyi mna thamani kuliko shomoro wengi.
Shirikisha
Soma Mathayo 10Mathayo 10:30-31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
lakini ninyi, hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope basi; bora ninyi kuliko mashomoro wengi.
Shirikisha
Soma Mathayo 10