Mathayo 10:29
Mathayo 10:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Shomoro wawili huuzwa kwa sarafu moja ndogo. Lakini hata mmoja wao haanguki chini bila kibali cha Baba yenu.
Shirikisha
Soma Mathayo 10Mathayo 10:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Mashomoro wawili hawauzwi kwa senti moja? Wala hata mmoja haanguki chini asipojua Baba yenu
Shirikisha
Soma Mathayo 10