Mathayo 10:27
Mathayo 10:27 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Ninalowaambia gizani, ninyi lisemeni mchana peupe. Na lile mnalosikia likinongʼonwa masikioni mwenu, lihubirini juu ya nyumba.
Shirikisha
Soma Mathayo 10Mathayo 10:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Ninalowaambieni nyinyi katika giza, lisemeni katika mwanga; na jambo mlilosikia likinongonezwa, litangazeni hadharani.
Shirikisha
Soma Mathayo 10Mathayo 10:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Niwaambialo ninyi katika giza, lisemeni katika nuru; na msikialo kwa siri, lihubirini juu ya nyumba.
Shirikisha
Soma Mathayo 10