Mathayo 10:22
Mathayo 10:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wote watawachukieni nyinyi kwa sababu ya jina langu. Lakini atakayevumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokolewa.
Shirikisha
Soma Mathayo 10Mathayo 10:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nanyi mtakuwa mkichukiwa na watu wote kwa ajili ya jina langu; lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.
Shirikisha
Soma Mathayo 10