Mathayo 10:20
Mathayo 10:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana si nyinyi mtakaosema, bali ni Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu.
Shirikisha
Soma Mathayo 10Mathayo 10:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa si ninyi msemao, bali ni Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu.
Shirikisha
Soma Mathayo 10