Mathayo 10:18-19
Mathayo 10:18-19 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtapelekwa mbele ya watawala na wafalme kwa sababu yangu, mpate kunishuhudia kwao na kwa watu wa mataifa. Basi, watakapowapeleka nyinyi mahakamani, msiwe na wasiwasi mtasema nini au namna gani; wakati utakapofika, mtapewa la kusema.
Shirikisha
Soma Mathayo 10Mathayo 10:18-19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nanyi mtachukuliwa mbele ya watawala na wafalme kwa ajili yangu, kuwa ushuhuda kwao na kwa mataifa. Lakini hapo watakapowapeleka, msifikirifikiri jinsi mtakavyosema; maana mtapewa saa ile mtakayosema.
Shirikisha
Soma Mathayo 10