Mathayo 10:17
Mathayo 10:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Jihadharini na watu, maana watawapeleka nyinyi mahakamani na kuwapiga viboko katika masunagogi yao.
Shirikisha
Soma Mathayo 10Mathayo 10:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jihadharini na wanadamu; kwa maana watawapeleka mabarazani, na katika masinagogi yao watawapiga
Shirikisha
Soma Mathayo 10