Mathayo 10:15
Mathayo 10:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Kweli nawaambieni, siku ya hukumu mji huo utapata adhabu kubwa kuliko ile iliyoipata miji ya Sodoma na Gomora.
Shirikisha
Soma Mathayo 10Mathayo 10:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amin, nawaambia, itakuwa rahisi nchi ya Sodoma na Gomora kustahimili adhabu ya siku ya hukumu, kuliko mji ule.
Shirikisha
Soma Mathayo 10