Mathayo 10:14
Mathayo 10:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama mtu yeyote atakataa kuwakaribisheni au kuwasikilizeni, basi mtokapo katika nyumba hiyo au mji huo, yakunguteni mavumbi miguuni mwenu kama onyo kwao.
Shirikisha
Soma Mathayo 10Mathayo 10:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na mtu asipowakaribisha wala kuyasikiliza maneno yenu, mtokapo katika nyumba ile, au mji ule, kung'uteni mavumbi ya miguuni mwenu.
Shirikisha
Soma Mathayo 10