Mathayo 10:1 - Compare All Versions
Mathayo 10:1 BHN (Biblia Habari Njema)
Yesu aliwaita wanafunzi wake kumi na wawili, akawapa uwezo wa kuwafukuza pepo wachafu na kuponya magonjwa na maradhi yote.
Shirikisha
Mathayo 10 BHNMathayo 10:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Akawaita wanafunzi wake kumi na wawili, akawapa amri juu ya pepo wachafu, wawatoe, na kuponya magonjwa yote na udhaifu wa kila aina.
Shirikisha
Mathayo 10 SRUVMathayo 10:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaita wanafunzi wake kumi na wawili, akawapa amri juu ya pepo wachafu, wawatoe, na kupoza magonjwa yote na udhaifu wa kila aina.
Shirikisha
Mathayo 10 SUVMathayo 10:1 NEN (Neno)
Ndipo Yesu akawaita wanafunzi wake kumi na wawili, naye akawapa mamlaka juu ya pepo wachafu, ili waweze kuwatoa na kuponya kila ugonjwa na maradhi ya kila aina.
Shirikisha
Mathayo 10 NEN