Mathayo 1:5
Mathayo 1:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese
Shirikisha
Soma Mathayo 1Mathayo 1:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Salmoni alimzaa Boazi (mama yake Boazi alikuwa Rahabu) Boazi na Ruthu walikuwa wazazi wa Obedi, Obedi alimzaa Yese
Shirikisha
Soma Mathayo 1