Mathayo 1:3
Mathayo 1:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Yuda alimzaa Peresi na Zera (mama yao alikuwa Tamari), Peresi alimzaa Hesroni, Hesroni alimzaa Rami
Shirikisha
Soma Mathayo 1Mathayo 1:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu
Shirikisha
Soma Mathayo 1