Mathayo 1:22-23
Mathayo 1:22-23 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, haya yote yalitukia ili litimie lile neno Bwana alilosema kwa njia ya nabii: “Bikira atachukua mimba, atamzaa mtoto wa kiume, nao watampa jina Emanueli” (maana yake, “Mungu yuko nasi”).
Shirikisha
Soma Mathayo 1Mathayo 1:22-23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii akisema, Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.
Shirikisha
Soma Mathayo 1