Mathayo 1:19
Mathayo 1:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Yosefu, mumewe, kwa vile alikuwa mwadilifu, hakutaka kumwaibisha hadharani; hivyo alikusudia kumwacha kwa siri.
Shirikisha
Soma Mathayo 1Mathayo 1:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Yusufu, mumewe, kwa vile alivyokuwa mtu wa haki, asitake kumwaibisha, aliazimu kumwacha kwa siri.
Shirikisha
Soma Mathayo 1