Mathayo 1:17
Mathayo 1:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi vizazi vyote tangu Ibrahimu hata Daudi ni vizazi kumi na vinne; na tangu Daudi hata ule uhamisho wa Babeli ni vizazi kumi na vinne; na tangu ule uhamisho wa Babeli hata Kristo ni vizazi kumi na vinne.
Shirikisha
Soma Mathayo 1Mathayo 1:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, kulikuwa na vizazi kumi na vinne tangu Abrahamu mpaka Daudi, vizazi kumi na vinne tangu Daudi mpaka Wayahudi walipochukuliwa mateka Babuloni, na vizazi kumi na vinne tangu kuchukuliwa mateka mpaka wakati wa Kristo.
Shirikisha
Soma Mathayo 1Mathayo 1:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi vizazi vyote tangu Abrahamu hadi Daudi ni vizazi kumi na vinne; na tangu Daudi hadi ule uhamisho wa Babeli ni vizazi kumi na vinne; na tangu ule uhamisho wa Babeli hadi Kristo ni vizazi kumi na vinne.
Shirikisha
Soma Mathayo 1