Mathayo 1:12
Mathayo 1:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya Wayahudi kupelekwa uhamishoni Babuloni, Yekonia alimzaa Shealtieli, Shealtieli alimzaa Zerubabeli
Shirikisha
Soma Mathayo 1Mathayo 1:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na baada ya ule uhamisho wa Babeli, Yekonia akamzaa Shealtieli; Shealtieli akamzaa Zerubabeli
Shirikisha
Soma Mathayo 1