Mathayo 1:1-2
Mathayo 1:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu Kristo alikuwa wa ukoo wa Daudi, wa ukoo wa Abrahamu. Hii ndiyo orodha ya ukoo wake: Abrahamu alimzaa Isaka, Isaka alimzaa Yakobo, Yakobo alimzaa Yuda na ndugu zake
Shirikisha
Soma Mathayo 1Mathayo 1:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi, mwana wa Abrahamu. Abrahamu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake
Shirikisha
Soma Mathayo 1