Malaki 3:8-9
Malaki 3:8-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu. Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote.
Shirikisha
Soma Malaki 3Malaki 3:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, ni sawa mtu kumdanganya Mungu? La! Lakini nyinyi mnanidanganya! Walakini nyinyi mwauliza: ‘Tunakudanganya kwa namna gani?’ Naam! Mnanidanganya kuhusu zaka na tambiko zenu. Nyinyi na taifa lenu lote mmelaaniwa kwa sababu ya kunidanganya.
Shirikisha
Soma Malaki 3Malaki 3:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)

Soma Malaki 3