Malaki 3:3
Malaki 3:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye atakuja kuhukumu kama mtu asafishaye na kutakasa fedha. Atawasafisha wazawa wa Lawi, kama mtu afuavyo dhahabu au fedha, mpaka wamtolee Mwenyezi-Mungu tambiko zinazokubalika.
Shirikisha
Soma Malaki 3Malaki 3:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
naye ataketi kama asafishaye fedha na kuitakasa, naye atawatakasa wana wa Lawi, atawasafisha kama dhahabu na fedha; nao watamtolea BWANA dhabihu katika haki.
Shirikisha
Soma Malaki 3