Malaki 3:14
Malaki 3:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyinyi mmesema, ‘Kumtumikia Mungu hakuna faida. Kuna faida gani kuyatii maagizo ya Mwenyezi-Mungu wa majeshi, au kujaribu kumwonesha kuwa tumekosa mbele yake kwa kutembea kama watu wanaoomboleza?
Shirikisha
Soma Malaki 3Malaki 3:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mmesema, Kumtumikia Mungu hakuna faida; na, Tumepata faida gani kwa kuyashika maagizo yake, na kwa kwenda kwa huzuni mbele za BWANA wa majeshi?
Shirikisha
Soma Malaki 3