Luka 9:25
Luka 9:25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa kuwa yamfaa nini mtu kuupata ulimwengu wote, kama akijiangamiza, au kujipoteza mwenyewe?
Shirikisha
Soma Luka 9Luka 9:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, kuna faida gani mtu kuupata utajiri wote wa dunia kwa kujipoteza au kujiangamiza yeye mwenyewe?
Shirikisha
Soma Luka 9Luka 9:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa inamfaa nini mtu kuupata ulimwengu wote, lakini akajiangamiza, au kujipoteza mwenyewe?
Shirikisha
Soma Luka 9