Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 6:5 - Compare All Versions

Luka 6:5 BHN (Biblia Habari Njema)

Hivyo akawaambia, “Mwana wa Mtu ana uwezo juu ya Sabato.”

Shirikisha
Luka 6 BHN

Luka 6:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Akawaambia, Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato.

Shirikisha
Luka 6 SRUV

Luka 6:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Akawaambia, Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato.

Shirikisha
Luka 6 SUV

Luka 6:5 NEN (Neno)

Kisha Yesu akawaambia, “Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.”

Shirikisha
Luka 6 NEN