Luka 22:7-8
Luka 22:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, siku ya mikate isiyotiwa chachu ikafika. Hiyo ndiyo siku ambayo mwanakondoo wa Pasaka huchinjwa. Hivyo Yesu akawatuma Petro na Yohane, akawaambia, “Nendeni mkatuandalie karamu ili tupate kula Pasaka.”
Shirikisha
Soma Luka 22Luka 22:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikafika siku ya mikate isiyotiwa chachu, ambayo ilipasa kuchinja Pasaka. Akawatuma Petro na Yohana, akisema, Nendeni, mkatuandalie Pasaka tupate kuila.
Shirikisha
Soma Luka 22