Luka 22:29
Luka 22:29 Biblia Habari Njema (BHN)
na, kama vile Baba yangu alivyonikabidhi ufalme, vivyo hivyo nami ninawakabidhi nyinyi ufalme.
Shirikisha
Soma Luka 22Luka 22:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nawawekea ninyi ufalme, kama vile Baba yangu alivyoniwekea mimi
Shirikisha
Soma Luka 22