Luka 21:5
Luka 21:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Baadhi ya wanafunzi walikuwa wanazungumza juu ya hekalu, jinsi lilivyopambwa kwa mawe ya thamani, pamoja na sadaka zilizotolewa kwa Mungu. Yesu akasema
Shirikisha
Soma Luka 21Luka 21:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na watu kadhaa walipokuwa wakiongea habari za hekalu, jinsi lilivyopambwa kwa mawe mazuri na sadaka za watu, alisema
Shirikisha
Soma Luka 21