Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 21:3 - Compare All Versions

Luka 21:3 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, akasema, “Nawaambieni kweli, mama huyu mjane maskini ametia katika hazina kiasi kikubwa kuliko walichotia wote.

Shirikisha
Luka 21 BHN

Luka 21:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Akasema, Hakika nawaambia, huyu mjane maskini ametia zaidi kuliko wote

Shirikisha
Luka 21 SUV

Luka 21:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Akasema, Hakika nawaambia, huyu mjane maskini ametia zaidi kuliko wote

Shirikisha
Luka 21 SRUV

Luka 21:3 NEN (Neno)

Yesu akasema, “Amin, nawaambia, huyu mjane maskini ameweka humo zaidi ya watu wengine wote.

Shirikisha
Luka 21 NEN