Luka 12:7 - Compare All Versions
Luka 12:7 BHN (Biblia Habari Njema)
Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope, basi; nyinyi mna thamani kuliko shomoro wengi!
Shirikisha
Luka 12 BHNLuka 12:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope basi, bora ninyi kuliko Shomoro wengi.
Shirikisha
Luka 12 SRUVLuka 12:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope basi, bora ninyi kuliko mashomoro wengi.
Shirikisha
Luka 12 SUVLuka 12:7 NEN (Neno)
Naam, hata nywele za vichwa vyenu zote zimehesabiwa. Hivyo msiogope, kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi.
Shirikisha
Luka 12 NEN