Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 10:39 - Compare All Versions

Luka 10:39 BHN (Biblia Habari Njema)

Martha alikuwa na dada yake aitwaye Maria; huyu aliketi karibu na Yesu akisikiliza mafundisho yake.

Shirikisha
Luka 10 BHN

Luka 10:39 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Naye alikuwa na dada yake aitwaye Mariamu, aliyeketi miguuni pake Yesu, akasikiliza maneno yake.

Shirikisha
Luka 10 SRUV

Luka 10:39 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Naye alikuwa na umbu lake aitwaye Mariamu, aliyeketi miguuni pake Yesu, akasikiliza maneno yake.

Shirikisha
Luka 10 SUV

Luka 10:39 NEN (Neno)

Martha alikuwa na dada yake aliyeitwa Mariamu, ambaye aliketi chini miguuni mwa Bwana akisikiliza yale alikuwa akisema.

Shirikisha
Luka 10 NEN