Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 1:50 - Compare All Versions

Luka 1:50 BHN (Biblia Habari Njema)

Huruma yake kwa watu wanaomcha hudumu kizazi hata kizazi.

Shirikisha
Luka 1 BHN

Luka 1:50 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na rehema zake hudumu vizazi hata vizazi Kwa hao wanaomcha.

Shirikisha
Luka 1 SRUV

Luka 1:50 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na rehema zake hudumu vizazi hata vizazi Kwa hao wanaomcha.

Shirikisha
Luka 1 SUV

Luka 1:50 NEN (Neno)

Rehema zake hudumu kizazi hadi kizazi, kwa wale wanaomcha.

Shirikisha
Luka 1 NEN