Luka 1:36
Luka 1:36 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Tena, tazama, jamaa yako Elisabeti naye amechukua mimba ya mtoto mwanamume katika uzee wake; na mwezi huu ni wa sita kwake yeye aliyeitwa tasa
Shirikisha
Soma Luka 1Luka 1:36 Biblia Habari Njema (BHN)
Ujue pia kwamba hata Elisabeti, jamaa yako, naye amepata mimba ingawa ni mzee, na sasa ni mwezi wa sita kwake yeye ambaye watu walimfahamu kuwa tasa.
Shirikisha
Soma Luka 1